watu wa asili

09 Agosti 2018

Jarida  la leo na Assumpta Massoi lina taarifa za kuvutia. maadhimisho ya miaka 73 ya bomu la nuklia Hiroshima; watu wa asili hawajanufaika na  sera za utandawazi; uhakika wa chakula  baado ni changamoto kwa watu wa asili.

Sauti -
10'51"

Kulikoni maendeleo yafukuzishe watu wa asili kwenye makazi yao?

Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Miroslav Lajčák amefungua jukwaa la watu wa jamii ya asili akisema katu isisahaulike kuwa Umoja wa Mataifa ni kwa ajili ya watu wote ikiwemo watu wa asili.

Jukwaa la watu wa asili laanza New York, Marekani

Kikao cha 17 cha jukwaa la kudumu la Umoja wa Mataifa la watu wa asili kimeanza leo kwenye makao makuu ya umoja huo, jijini New York, Marekani. Mada kuu katika mkutano huo ni haki za ardhi, maeneo na rasilimali kwa watu hao wa jamii za asili. 

Sauti -
1'43"

16 Aprili 2018

Katika jarida la leo tunakuletea habari zikiwemao: Jukwaa la watu wa asili laanza New York, Marekani; Mimba za utotoni ni zahma kwa wasichana na jamii; Baada ya miaka 38 ya ndoa si kifo bali vita vyawatenganisha wanandoa na makala ikiangazia ulinzi wa mazingira, ambako walinda amani kutoka Rwanda wamejitolea kuwafundisha wanawake wakimbizi katika mji wa Malakal kutengeneza majiko ya kupikia.

Sauti -
9'57"