watu wa asili

16 Desemba 2020

Sikiliza Jarida la Habari la Jumatano Desemba 2020 kwa habari, makala na mashinani, mwenyeji wako ni Flora Nducha.

Sauti -
11'49"

Haki ya watu wa asili ya kuishi na kulisha familia zao katika mazingira yao haina mjadala:IFAD 

Mfuko wa kimataifa wa maendeeo ya kilimo IFAD umesema haki za watu wa jamii za asili za kuishi na kulisha familia zao kwa kutumia ardhi zao kote duniani ni suala la muhimu lisilo na mjadala na mfuko huo umezitaka serikali kote ulimwenguni kuhakikiza haki hizo zinadumishwa.