watoto

COVID-19 imeingilia na kuathiri huduma za ulinzi wa watoto katika nchi zaidi ya 100: UNICEF

Huduma za kupambana na ukatili na ulinzi kwa watoto zimeathirika vibaya wakati huu wa janga la corona au COVID-19 na kuwaacha watoto katika hatari kubwa ya machafuko, unyanyasaji na ukatili kwa mujibu wa utafiti wa kimataifa uliofanywa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF.

17 AGOSTI 2020

Katika Jarida la habari hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
11'3"

Kuendeleza huduma za msingi Sudan Kusini ni muhimu katika mapambano ya COVID-19:UNICEF

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, limesema muendelezo wa huduma za msingi zikiwemo chanjo kwa watoto Sudan Kusini ni muhimu sana katika vita dhidi ya janga la corona au COVID-19 na maradhi mengine.

UNICEF yatoa msaada kwa watu 40,000 waliotawanywa na machafuko mapya Kivu Kusini

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linatoa msaada muhimu wa kibinadamu kwa watu 40,000 ambao wamekimbia machafuko ya kikabila

Sauti -
2'47"

05 Agosti 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Assumpta Massoi 
-Lebanon,iko katika siku ya maombolezo kufuatia mlipuko mkubwa wa jana katika mji mkuu Beirut UNIFIL iko tayari kusaidia.
Sauti -
11'52"

Unyonyeshaji kwa ajili ya dunia enye afya:UNICEF/WHO

Wiki ya unyonyeshaji duniani imeanza Agosti Mosi huku Umoja wa Mataifa ukizitaka jamii zote kila mahali “kuunga mkono unyonyeshaji kwa ajili ya kuwa na dunia yenye afya.” 

Mkimbizi nchini Uganda aeleza alivyopata moyo wa kulea mtoto aliyekimbia bila wazazi.

Kutokana na mizozo ya bunduki maelfu ya watoto hulazimika kukimbia nchini mwao bila kusindikizwa na wazazi au mtu mzima yeyote na kujikuta katika nchi jirani.
Sauti -
4'2"

Watoto 5 wauawa na 9 kujeruhiwa katika shambulio Darfur:UNICEF

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limealaani vikali shambulio lililofanyika kwenye Kijiji cha Masterei Darfur Magharibi nchini Sudan na kukatili maisha ya watoto watano na kujeruhi wengine tisa.

Waathirika wa homa ya ini aina B wamepungua 2019:WHO

Kiwango wa watoto wa chini ya miaka mitano wanaougua homa ya ini aina B kilishuka mwaka 2019 hadi chini ya asilimia 1 kutoka asilimia 5 katika miaka 1980 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO.

UNICEF inasema, ebola imeongeza idadi ya watoto waliotenganishwa na wazazi DRC

Watoto zaidi ya 32 wamepoteza au kutenganishwa na mzazi mmoja au wote kutokana na Ebola tangu kuzuka kwa mlipuko mpya Juni Mosi kwenye jimbo la Equateur Magharibi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC,limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto

Sauti -
2'11"