watoto

Shirika la ACAKORO lawa mkombozi wa elimu kwa watoto masikini wa Korogocho Kenya:UNICEF

Shirika la kijamii la ACAKORO limekuwa mkombozi mkubwa wa elimu kwa watoto masikini wa mtaa wa mabanda wa Korogocho nchini Kenya baada ya shule kuendelea kufungwa kutokana na janga la corona au COVID-19 hadi Januari 2021.

Sauti -
2'32"

26 Agosti 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Flora Nducha
Sauti -
13'4"

Wazazi wana wajibu wa kuzungumza wazi na watoto kuhusu ubaguzi:UNICEF

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linasema mazungumzo na watoto kuhusu tatizo la ubaguzi na ubaguzi wa rangi si suala rahisi

Sauti -
2'49"

Wazazi wana wajibu wa kuzungumza wazi na watoto kuhusu ubaguzi:UNICEF

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linasema mazungumzo na watoto kuhusu tatizo la ubaguzi na ubaguzi wa rangi si suala rahisi lakini ni ya lazima na ni jukumu la wazazi na walezi.

Tumenufaika sana na mafunzo ya lishe endelevu-Morogoro

Wanawake 40 na wanaume 21 wamenufaika na mafunzo kuhusu lishe endelevu, mafunzo ambayo yamefanyika katika eneo la Mvomero, Turiani Morogoro Tanzania kwa usimamizi wa shirika la Save the Children.

Sauti -
3'43"

Ni wajibu wangu kuwasaidia na kuwalinda watoto hata wakati wa COVID-19: Sreyoun

Kutana na mtaalam wa huduma za kijamii za watoto nchini Cambodia Tim Sreyoun ambaye anasema licha ya janga la corona au COVID-19 ni wajibu wake kuhakikisha watoto wanahudumiwa na kulindwa dhidi ya ukatili kwani ni zahma aliyoipitia maishani mwake.

WHO, UNICEF zataka shule zifunguliwe kwa njia salama Afrika

Mashirika ya Umoja wa Mataifa la afya WHO na la kuhudumia watoto

Sauti -
3'1"

20 Agosti 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Flora Nducha
Sauti -
13'12"

COVID-19 imeingilia na kuathiri huduma za ulinzi wa watoto katika nchi zaidi ya 100: UNICEF

UNICEF inasema matokeo ya utafiti huo yaliyotokana na maoni yaliyokusanywa kutoka nchi 104 kati ya nchi 136 kuhusu athari ya kiuchumi na kijamii z

Sauti -
2'29"

18 Agosti 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Flora Nducha
Sauti -
12'36"