watoto

19 Novemba 2020

Sikiliza Jarida la Habari kupata taarifa kem kem na, makala na maoni yako kutoka mashiani

Sauti -
12'2"

WHO/UNICEF wachukua hatua kulinda watoto dhidi ya polio

Kampeni kubwa ya chanjo imezinduliwa leo nchini Sudan Kusini na mashirika ya Umoja wa Mataifa la afya duniani WHO na la kuhudumia Watoto

Sauti -
2'26"

Mtoto 1 kati ya 6 anaishi katika umaskini uliokithiri-Utafiti 

Tathimini ya utafiti uliofanywa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF na Benki ya Dunia iliyotolewa hii leo mjini New York na Washington DC Marekani imekadiria kuwa mtoto 1 kati ya 6 au sawa na watoto milioni 356 duniani kote, walikuwa wanaishi katika umaskini uliokithiri hata kabla ya janga la virusi vya corona, na hali inategemewa kuwa mbaya zaidi.

08 Oktoba 2020

Katika kila sekunde 16 mtoto mmoja huzaliwa mfu, imesema ripoti mpya ya aina yake iliyotolewa na mashirika ya Umoja wa Mataifa na taasisi zake.

Sauti -
12'30"

Maelfu ya watoto waendelea kuwa hatarini Ituri DRC:UNICEF 

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF limesema linaendelea kutiwa hofu kubwa kuhusu maelfu ya watoto walio hatarini wakati huu machafuko yakiendelea kwenye jimbo la Ituri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC. 

Vita, mabadiliko ya tabianchi na COVID-19 vyatishia hatma ya wanawake na watoto:UN 

Hatua zilizopigwa ili kuboresha afya ya wanawake na Watoto ziko njiapanda kutokana na tishio la vita, mabadiliko ya tabianchi na janga la corona au COVID-19 kwa mujibu wa ripoti mpya ya mkakati wa kila mwanamke, kila mtoto iliyotolewa leo na Umoja wa Mataifa. 

Ripoti imebaini watoto milioni 150 zaidi wametumbukia katika umaskini kwa sababu ya COVID-19-

Idadi ya watoto wanaoishi katika umaskini wa namna mbalimbali imeongezeka hadi takriban bilioni 1.2 kutokana na janga la COVID-19.

Sauti -
1'54"

COVID-19 yaweza futa mafanikio ya kupunguza vifo vya watoto wachanga- Ripoti 

Ripoti mpya iliyotolewa leo na mashirika ya Umoja wa Mataifa na taasisi zake, imeonesha kuwa mafanikio yaliyopatikana takribani miongo mitatu katika kuepusha vifo vya watoto wachanga yanaweza kufutwa na janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 iwapo hatua madhubuti hazitachukuliwa. 

COVID-19: Takribani mtoto 1 kati ya 3 ya watoto wa shule duniani kote, hakuweza kupata masomo nje ya mazingira ya shule-Ripoti 

Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF iliyotolewa hii leo mjini New York Marekani imeeleza kuwa takribani theluthi

Sauti -
2'14"

Shirika la ACAKORO lawa mkombozi wa elimu kwa watoto masikini wa Korogocho Kenya:UNICEF

Shirika la kijamii la ACAKORO limekuwa mkombozi mkubwa wa elimu kwa watoto masikini wa mtaa wa mabanda wa Korogocho nchini Kenya baada ya shule kuendelea kufungwa kutokana na janga la corona au COVID-19 hadi Januari 2021.

Sauti -
2'32"