watoto

UNICEF yasaidia kuongeza idadi ya watoto waliopata chanjo nchini Malawi

Baada ya  utafiti kuonesha kushuka kwa kiasi kikubwa cha idadi ya watoto wanaopata chanjo katika wilaya ya Mzimba nchini Malawi,  hatua iliyochukuliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto,

Sauti -
2'14"

Hali ya chanjo ilikuwa mbaya wilaya ya Mzimba, Malawi kabla ya UNICEF kuingilia kati

Baada ya  utafiti kuonesha kushuka kwa kiasi kikubwa cha watoto kupata chanjo katika wilaya ya Mzimba nchini Malawi,  hatua iliyochukuliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF kuanzia mwaka 2017, sasa inaonesha kuzaa matunda kwani idadi ya watoto wanaochanjwa na uelewa wa wazazi kuhusu chanjo vimepanda.

Msaada wa kibinadamu wahitajika Niger, watoto taabani

Zaidi ya watu Milioni 3.8 wakiwemo watoto Milioni 2.1, wanahitaji msaada wa kibinadamu nchini Niger, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF. 

JULY 02, 2021

Karibu usikilize Jarida ambapo leo utasikia kuhusu kurejea kwa operesheni za WFP za kusambaza chakula jimboni Tigray nchini Ethiop

Sauti -
9'56"

Juni 22 2021

Katika Jarida la Habari za UN leo utasikia kuhusu Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hii leo limezindua rasmi mwaka huu wa 2021 kuwa mwaka wa kimataifa wa wahudumu wa afya na wanaohudumia wagonjwa ikiwa ni kutambua mchango wao katika kukabiliana na ugonjwa wa Corona.

Sauti -
14'

16 juni 2021

Karibu usikilize Jarida hii leo ambapo Assumpta Massoi anakufahamisha kuhusu siku ya Umoja wa Mataifa ya Utumaji fedha na hali ilivyo, japo bado dunia inapambana na janga la Corona au COVID-19

Sauti -
12'9"

Je chakula unachokula ni kisafi na hautopata magonjwa? 

Leo ni siku ya Umoja wa Mataifa ya usalama wa chakula duniani, ambapo mashirika ya  Umoja wa Mataifa lile la afya ulimwenguni -WHO na la Kilimo na chakula FAO yametoa wito wa kuimarishwa kwa juhudi za kuhakikisha chakula kinacholiwa ni salama na kulifanya suala la usalama wa chakula kwa umma ni ajenda ya wote, ili kupunguza magonjwa yanayosababishwa na chakula kisicho bora na salama. 

25 Mei 2021

Hii leo jaridani tunaanzia huko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kumulika janga la mlipuko wa volkano katika mlima Nyiragongo jimboni Kivu Kaskazini.  Kisha tunaangazia ripoti ya

Sauti -
13'36"

Idadi ya watoto waliouawa Gaza yafikia 40: Wanane wameuawa usiku wa kuamkia leo 

Watoto wanane wa kipalestina wameuawa usiku wa kuamkia leo huko Ukanda wa Gaza, limesema shirika la Umoja wa MAtaifa la kuhudumia watoto UNICEF. 

Kuna ongezeko la hatari dhidi ya watoto CAR - UNICEF 

Mwakilishi wa shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa, UNICEF, NCHINI Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, Fran Equiza, hii leo akizungumza na wanahabari mjini Geneva Uswisi amesema, "watoto 370,000 kwa sasa ni wakimbizi wa ndani nchini kote kwa sababu ya vurugu zinazoendelea na ukosefu wa usalama. Hiki ni kiwango cha juu kabisa cha watoto kufurushwa katika makazi yao tangu 2014."