Chuja:

watoto na mitandao ya kijamii

 Vurugu na unyanyasaji shuleni, ikiwa ni pamoja na unyanyasaji wa mtandaoni, umeenea na huathiri idadi kubwa ya watoto na vijana.
Unsplash/James Sutton

Ingawa fursa za mtandao ni muhimu kwa watoto pia zina hatari kubwa:UNESCO

Katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ukatili na unyanyasaji mashuleni na mtandaoni, shirika la Umoja wa Mataifa la elimu sayansi na utamaduni UNESCO limeonya kwamba ingawa matumizi ya mtandao yanatoa fursa kubwa ya mawasiliano na kusoma pia yanawaweka watoto na vijana katika hatari kubwa ya ukatili na unyanyasaji.

Sauti
2'29"