wapenzi wa jinsia moja

Monkeypox ugonjwa nadra lakini hatari sawa na virusi vya ndui ambayo sasa imetokomezwa.
© CDC/Cynthia S. Goldsmith, Russell Regnery

Ndui ya Nyani au Monekypox imesambaa katika nchi 42

Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya duniani WHO limesema tangu tarehe 1 Januari 2022, wagonjwa wa ndui ya nyani au  Monkeypox wameripotiwa kutoka Mataifa 42 Wanachama katika kutoka mabara matano ya WHO (Amerika, Afrika, Ulaya, Mediterania ya Mashariki na Pasifiki ya Magharibi).