wanawake

Kama sekta ya dini tunajivunia kuinua elimu ya msichana Rwanda:Mwakasungura

“Ukimuelimisha mwanamke umeielimisha jamii”, ni usemi ambao umedhihirika karibu kote duniani ambako msichana au mwanamke amepewa fursa ya kusoma. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa pindi mwanamke anapoelimika faida za elimu yake si zake peke yake, bali ni za familia yake, jamii na hata taifa lake.

Sauti -
4'42"

Wanawake hufanikiwa wakiwekeza katika sekta zinazohodhiwa na wanaume-Benki ya dunia

Benki ya dunia inasema wanawake barani Afrika wako katika mazingira ya kuingia katika kazi zisiso rasmi ikilinganishwa na wanawake wa maeneo mengi.

Sauti -
1'52"

01 April 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Grace Kaneiya anakuletea

-Mkutano wa kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya idadi ya watu na maendeleo wang'oa nanga kwa wito wa kuongeza juhudi kutimiza SDGs

Sauti -
13'12"

Wanawake hufanikiwa wakiwekeza katika sekta zinazohodhiwa na wanaume-Benki ya dunia

Benki ya dunia inasema wanawake barani Afrika wako katika mazingira ya kuingia katika kazi zisiso rasmi ikilinganishwa na wanawake wa maeneo mengi.

Kushinikiza wanawake masuala ya afya ya uzazi ni ukiukwahi wa haki:UN

Kakati ya umoja wa Mataifa ya haki za kijamii, kiuchumi na kitamaduni leo imetoa maamuzi kwamba Italia imekiuka haki za binadamu baada ya sheria za nchi hiyo kumshinikiza mwanamke mmoja kupandikizwa kiini tete ambacho hakikudumu na wameitaka imlipe fidia na kubadili sheria.

Sauti -
3'24"

27 Machi 2019

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii Leo Patrick Newman anakuletea 

-Kamati ya Umoja wa Mataifa ya haki za kiuchumi, kijamii na kitamaduni yasema Italia ilikiuka haki za binadamu kumshinikiza mwanamke kubeba ujauzito na kisha ukatoka

Sauti -
11'30"

Italia imekiuka haki kumshurutisha mwanamke kubeba ujauzito kisha ukatoka:UN

Uamuzi uliotolewa leo na kamati ya Umoja wa Mataifa ya masuala ya kiuchumi, kijamii na haki za kitamaduni umesema Italia ilikiuka haki za binadamu za kiafya za mwanamke mmoja baada ya sheria za masuala ya tiba ya uzazi nchini humo kumlazimisha kubeba ujauzito ambao hatimaye ulitoka.

Tanzania yachukua hatua ili kila mtu apate maji ifikapo 2030

Ikiwa leo ni siku ya maji duniani, maudhui yakiwa hakuna kumwacha mtu nyuma katika kupata huduma hiyo ifikapo mwaka 2030 kwa kuzingatia lengo namba 6 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, Tanzania imetaja hatua iliyochukua ili kufanikisha lengo hilo. 

Kilimanjaro mila na desturi bado ni kikwazo cha haki ya mwanamke:Minde

Mila na desturi zimeendelea kuwa mtihani mkumu katika juhudi za ukombozi wa mwanamke katika kupata haki na sheria  sehemu mbalimbali duniani ikiwemo mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania, kwa nini? 

Mila na desturi Kilimanjaro bado ni kikwazo cha haki ya mwanamke:Minde

Mila na desturi zimeendelea kuwa mtihani mkumu katika juhudi za ukombozi wa mwanamke katika kupata haki na sheria  sehemu mbalimbali duniani ikiwemo mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania, kwa nini? 

Sauti -
4'