wanawake

Tuligundua kwa kukuza uchumi wa mwanamke, tutakuza uchumi wa jamii nzima-Paul Siniga

Asasi ya African Reflections Foundation inayojishughulisha na utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu, SDGs nchini Tanzania, kwa miaka mingi imejikita katika kuleta usawa wa kijinsia nchini humo kwa njia ya kukuza ushiriki wa shughuli za uchumi kwa wanawake.

Sauti -
3'15"

Kila jambo ambalo wanawake wameweka mkono wao, limeonesha mafanikio- Amina J. Mohammed

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bi. Amina J. Mohammed hii leo akiwa ziarani mjini Addis Ababa nchini Ethiopia amelihutubia Baraza la Amani na Usalama la Muungano wa Afrika, AU,  na kuupongeza Muungano huo kwa kutekeleza kwa vitendo ahadi yao ya kuhakikisha usawa wa kijinsia na ushiriki wa wanawake.

21 Oktoba 2019

Katika Jarida na Habari hii leo Flora Nducha anakuletea

-Licha ya hatari wanazokabiliana nazo wahamiaji kutoka Afrika kwenda Ulaya kuendelea kufanya safari hizo kwa mujibu wa ripoti ya shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa maendeleo UNDP iliyotolewa leo

Sauti -
11'24"

15 Oktoba 2019

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Assumpta Massoi anakuletea

Sauti -
10'46"

Wanawake Nairobi wajitosa kutengeneza majeneza ili  kuinua kipato

Katika hatua za kuhakikisha usawa wa kijinsia jamii na wanawake wenyewe wanachukua hatamu kujitosa katika sehemu ambazo kawaida zilizoeleka kuendeshwa na wanaume . Mfano mmoja ni kazi ya useremala hasa ile ya kutengeneza majeneza ambayo kwa kawaida inajulikana kuwa ni kazi wanaume tu.

Sauti -
5'6"

Nchini CAR mradi wa kilimo kwa ajili ya amani wawa mkombozi wa wanawake na vijana

Nchini Jamhuri ya Afrika ya kati CAR, walinda amani wa Umoja wa Mataifa wanawasaidia wanawake kwenye mji wa Birao jimbo la Vakaga, kujenga amani kwa njia bora zaidi, wakifanya kazi ya kilimo kulisha familia zao na kupata riziki

Sauti -
2'31"

Kaunti ya Makueni nchini Kenya tumeweka mikakati mingi kumkomboa mwanamke-Mwau

Mwanamke mashinani anakabiliwa na changamoto mbalimbali iwe ni masuala ya afya, maji au hata ukiukwaji wa haki zake. Kwa kutambua changamoto ambazo zinawakabili wanawake na katika juhudi za kufanikisha lengo namba tano la malengo ya maendeleo endelevu SDGs ifikapo mwaka 2030, serikali ya kaunti y

Sauti -
3'14"

UN yapongeza wanawake viongozi Afrika kwa kuweka mjadala wa vizazi tofauti

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina J.Mohammed ameshiriki mkutano wa mtandao wa wanawake viongozi barani Afrika, AWLN, akipongeza mtandao huo kwa kuchuuka hatua za kuleta pamoja viongozi wanawake wastaafu, wale wa sasa na viongozi vijana.

Kazi ni kazi hakuna ya mwanaume wala mwanamke asema Mwanamke fundi magari Kenya

Kwa muda mrefu kuna baadhi ya kazi ambazo kwa kawaida zilizoeleka kuwa ni kazi za jinsia moja na wala sio nyingine lakini Christina Wambulu  mwanamke mwenye umri wa miaka 40 kutoka nchini Kenya amekata kauli kwamba kitu muhimu katika utekelezaji wa kazi yoyote ni stadi na maarifa wala sio jinsia.

Sauti -
2'2"

Mwanamke fundi stadi wa magari  kutoka Kenya atoa changamoto kwa wasichana na wanawake kufanya kazi za “wanaume”

Kwa muda mrefu kuna baadhi ya kazi ambazo kwa kawaida zilizoeleka kuwa ni kazi za jinsia moja na wala sio nyingine lakini Christina Wambulu  mwanamke mwenye umri wa miaka 40 kutoka nchini Kenya amekata kauli kwamba kitu muhimu katika utekelezaji wa kazi yoyote ni stadi na maarifa wala sio jinsia.