wanawake

Wakimbizi wazungumuzia msaada wa kibinadamu, Uganda

Uganda ni moja ya nchi ambayo inahifadhi wakimbizi wengi barani Afrika na inasifika kwa namna serikali inawajumuisha wakimbizi na kuwapa ardhi kama moja ya mbinu ya kuwawezesha kujitegemea.

Sauti -

Wakimbizi wazungumuzia msaada wa kibinadamu, Uganda

Nimetumikishwa kama kahaba, nashindwa kujinasua-Joy

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF inasema mamilioni ya watoto wanavuka mipaka ya kimataifa wakikimbia vurugu na migogoro, ma

Sauti -

Nimetumikishwa kama kahaba, nashindwa kujinasua-Joy

Makumbusho hukuza jamii erevu- UNESCO

Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya makumbusho yamefanyika hapo jana Mei 18, mwaka huu maudhui yakiwa ni  makumbusho na historia, kueleza kisichoelezwa, yakipigia chepuo jukumu la  makumbusho katika kukuza uhuru wa mawazo, na maarifa katika kuchangia jamii iliyoelimika.

Sauti -

Makumbusho hukuza jamii erevu- UNESCO

Mkurugenzi wa WHO Afrika aenda DRC kujadili kukabili Ebola: