Mjumbe maluum wa maswala ya ukatili wa kijinsia (GBV) wa shirika la Umoja wa Mataifa la idadi wa watu ulimwenguni UNFPA, yupo ziarani katika visiwa vya
Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji IOM, limetoa msaada wa dharura huko Sabratah Libya, kilometa 80 magharibi mwa mji mkuuTripoli kwa wakimbizi 4000 wanoajaribu safari za hatari za kwenda Ulaya kutipitia Bahari ya Mediterania