wanawake

UNMISS yatowesha hofu kwa watoto Sudan Kusini.

Hofu,mashaka mtawalia! Haya ni baadhi ya madhila yaliyowakumba watoto nchini Sudan Kusini kabla ya operesheni ya kikosi cha ulinzi wa amani cha  Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini

Sauti -

UNMISS yatowesha hofu kwa watoto Sudan Kusini.

Wakimbizi wazungumuzia msaada wa kibinadamu, Uganda

Uganda ni moja ya nchi ambayo inahifadhi wakimbizi wengi barani Afrika na inasifika kwa namna serikali inawajumuisha wakimbizi na kuwapa ardhi kama moja ya mbinu ya kuwawezesha kujitegemea.

Sauti -

Wakimbizi wazungumuzia msaada wa kibinadamu, Uganda