wanawake

Makumbusho hukuza jamii erevu- UNESCO

Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya makumbusho yamefanyika hapo jana Mei 18, mwaka huu maudhui yakiwa ni  makumbusho na historia, kueleza kisichoelezwa, yakipigia chepuo jukumu la  makumbusho katika kukuza uhuru wa mawazo, na maarifa katika kuchangia jamii iliyoelimika.

Sauti -

Makumbusho hukuza jamii erevu- UNESCO

Mkurugenzi wa WHO Afrika aenda DRC kujadili kukabili Ebola:

Kundi lenye sialaha lashambulia raia CAR, mlinda amani auawa:UM

Kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR kimepeleka askari kuongeza nguvu Kusini Mashariki mwa mji wa Bangassou, ambako kundi la watu wenye silaha waliwafyatulia raia risasi usiku wa kuamkia leo na kuua idadi isiyojulikana akiwemo mlinda amani mmoja wa
Sauti -

Kundi lenye sialaha lashambulia raia CAR, mlinda amani auawa:UM

UNICEF yakaribisha kuachiliwa kwa watoto 82 wa Chibok

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, limekaribisha kuachiliwa kwa watoto 82 nchini Nigeria hapo jana Jumamosi, wahafamikao maar

Sauti -

UNICEF yakaribisha kuachiliwa kwa watoto 82 wa Chibok

Tuhamasishe dunia kuishi pamoja: Bokova

Ni wakati wa kutafuta mbinu ya kuwahamasisha watu kuishi pamoja amesema Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni

Sauti -

Tuhamasishe dunia kuishi pamoja: Bokova