wanawake

Ukosefu wa maendeleo chanzo cha migogoro Nigeria: UNDP

Mkutano wa jumuiya ya kimataifa wa kujadili jinsi ya kuongeza msaada kwa bonde la ziwa Chad ambako nchi za Cameroon, Chad, Niger na Nigeria ziko katika hatihati ya janga kubwa la kibinadamu, ukiwa umeanza leo, shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa maendeleo UNDP nchini Nigeria, limesema mipang

Sauti -

Ukosefu wa maendeleo chanzo cha migogoro Nigeria: UNDP

Takriban watoto milioni 1.4 wako katika hatari ya kifo sababu ya baa la njaa - UNICEF

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limesema takriban watoto milioni 1.4 wako katika hatari ya kifo kutokana na utapiamlo mkali

Sauti -

Takriban watoto milioni 1.4 wako katika hatari ya kifo sababu ya baa la njaa - UNICEF

UM, mashirika walaani kuzorota usalama CAR

Umoja wa Mataifa pamoja na jumuiya kadhaa ikiwamo Muungano wa Afrika AU, Jumuiya ya uchumi ya mataifa ya Afrika ya Kati ECCAS, wameelezea kusikitishwa kwao na kuzorota kwa usalama nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR. Taarifa kamili na Rosemary Musumba.

(Taarifa ya Rosemary)

Sauti -

UM, mashirika walaani kuzorota usalama CAR

Migogoro yaielemea dunia, suluhu ni diplomasia ya amani : Guterres

Akiwa ziarani nchini Ujerumani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António  Guterres  amezungumza katika mkutano kuhusu usalama mjini Munich ambapo amesema migogoro duniani ni tishio hususani mtindo mpya ambapo wapiganaji huhama kutoka nchi moja kwenda nyingine.

Sauti -

Migogoro yaielemea dunia, suluhu ni diplomasia ya amani : Guterres

UNFPA yatoa huduma za afya ya uzazi na kujisafi kwa wanawake Iraq

Shirika la Umoja wa Mataifa la  ididi ya watu UNFPA  na wadau, wanasaidia huduma za dharura kwa wanawake na wasichana mjini Mosul nchini Iraq, eneo ambal

Sauti -

UNFPA yatoa huduma za afya ya uzazi na kujisafi kwa wanawake Iraq