wanawake

Mipango kabambe ya 2030 Saudia inaweza kuwa kichocheo cha haki za wanawake: UM

Mtaalamu maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu umaskini uliokithiri na haki za binadamu, Philip Alston amesema kuwa ujasiri na mipango kabambe ya kubadilisha uchumi  nchini Saudi Arabia itatoa fursa ya kipekee ya kuboresha haki za binadamu za wanawake na maskini.

Sauti -

Mipango kabambe ya 2030 Saudia inaweza kuwa kichocheo cha haki za wanawake: UM

Takwimu bora kuhusu jinsia ni muhimu kwa SDG's:UN Women

[caption id="attachment_306809" align="aligncenter" width="623"]unwomentakwimu

Sauti -

Takwimu bora kuhusu jinsia ni muhimu kwa SDG's:UN Women

WFP na Ubelgiji waungana kusaidia wapalestina

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula WFP leo limekaribisha mchango wa Euro milioni moja kutoka Ubelgiji ili kusaidia wapalestina 180,000 walio kwenye mazingira magumu huko ukanda wa Gaza na ukingo wa magharibi wa mto Jordan.

Sauti -

WFP na Ubelgiji waungana kusaidia wapalestina

Watu takriban milioni 1.2 huko Cameroon wanahitaji msaada wa dharura: OCHA

Umoja wa Mataifa, Serikali ya Cameroon na mashirika yasiyo ya kiserikali wamezindua ombi la dola milioni 310 ili kutekeleza mpango wa usaidizi kwa watu takriban milioni 1.2 kwenye mikoa ya kaskazini na mashariki mwa nchi hiyo wakati huu ambapo inaendelea kukabiliana na mgogoro wa usalama ulioathi

Sauti -

Watu takriban milioni 1.2 huko Cameroon wanahitaji msaada wa dharura: OCHA

Umoja wa Mataifa walaani shambulio la kigaidi Istanbul Uturuki.

K

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amelaani shambulio la kigaidi katika klabu ya usiku mjini Istanbul Uturuki, lililotekelezwa wakati wa sherehe za kuupokea mwaka mpya.

Sauti -

Umoja wa Mataifa walaani shambulio la kigaidi Istanbul Uturuki.