Wanawake viongozi

Uwepo wa wanawake uongozini umeleta matokeo chanya Kenya- Shebesh

Uwepo wa wanawake katika nafasi za uongozi umezaa matunda na matokeo yake ni dhahiri iwe ni kwa upande wa maswala ya mirathi au hata katika kukabiliana na usafirishaji haramu wa binadamu hususan watoto.

Sauti -
3'57"