Wanawake na maendeleo

Wakurugenzi karibu 400 kuzingatia misingi ya kuwawezesha wanawake

Wakurugenzi karibu 400 kuzingatia misingi ya kuwawezesha wanawake

Wakurugenzi karibu 400 duniani kote wametangaza dhamira yao ya kutekeleza kanuni za Misingi ya kuwawezesha wanawake yaani Women’s Empowerment Principles (WEPs) katika miaka miwili iliyopita, Kama vile Katibu Mkuu wa Umoja Ban Ki-moon na Mkurugenzi mtendaji wa kitengo cha Umoja wa Mataifa kinachos

Sauti -

Michelle Bachelet kwenda Morocco kuadhimisha siku ya wanawake duniani

Michelle Bachelet kwenda Morocco kuadhimisha siku ya wanawake duniani

Mkuu wa kitengo cha Umoja wa Mataifa kinachoshughulikia masuala ya wanawake Michelle Bachelet anatazamiwa kuelekea nchini Morocco ambako anaungana na wananwake wa eneo hilo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.
Sauti -

Idadi ya wanawake kwenye masuala ya kisiasa bado ni ya chini

Idadi ya wanawake kwenye masuala ya kisiasa bado ni ya chini

Chama cha bunge IPU kinasema kuwa hata kama mwaka 2011 ulishuhudia mabadiliko makubwa ya kisiasa na mabadiliko ya kidemokrasia kwenye sehemu tofauti za dunia, mwaka huo hata hivyo ulishuhudia idadi ndogo ya wanawake walioshiriki kwenye siasa.

Sauti -

Wanawake bado wanaendelea kutupa au kutelekeza watoto Afrika

Wanawake bado wanaendelea kutupa au kutelekeza watoto Afrika

Kila kunapokucha hasa kwenye nchi za bara Afrika kunaripotiwa visa vya kutupwa kwa watoto wachanga mara wazaliwapo.

Sauti -