Wanawake na maendeleo

UM waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kupanda mlima Kilimanjaro

UM waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kupanda mlima Kilimanjaro

Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na makundi mengine ya kiharakati pamoja na serikali ya Tanzania umeadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kupanda mlima kulimanjaro kama ishara mojawapo ya kusuma mbele nafasi ya mwanamke huku ikipinga vitendo vya dhulma dhidi yao.

Sauti -

Ban ataka vizingiti vinavyomkwaza mwanamke kiuchumi viondolewe

Ban ataka vizingiti vinavyomkwaza mwanamke kiuchumi viondolewe

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametoa wito wa kuondolewa vizuizi na vikwazo vinavyowaandama wanawake duniani kutojitokeza kwenye masuala ya ukuzaji uchumi.

Sauti -

Wanawake ni muhimu hasa wakati wa mizozo:Pillay

Wanawake ni muhimu hasa wakati wa mizozo:Pillay

Mary Kini, Angela Apa na Agnes Sil wanatoka kwenye familia tatu hasimu kwenye maeneo ya milima ya Papua New Guinea.

Sauti -