Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres yupo ziarani nchi Colombia, Amerika kusini katika jitihada za kuendeleza mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Colombia na makundi y
Mwaka wa 2018 umeanza vibaya kwa wasaka hifadhi ambapo yaelezwa wahamiaji wapatao 100 wahofiwa kuzama maji kwenye bahari ya Mediteranea. Selina Jerobon na ripoti kamili.