Kitendo cha kushindwa kuwafikia watoto wa kabila la Rohingya ambao bado wamesalia nchini Myanmar kinatutia shaka kubwa kwa kuwa wanaishi kwenye mazingira ya kusitikisha.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limekuwa na mkutano wa wazi kuhusu hali inayoendelea nchini Iran, kufuatia maandamano yaliyofanyika nchini humo tangu tarehe 28 mwezi uliopita hadi Jumanne wiki hii.
Ujumbe mpya wa Umoja wa Mataifa nchini Haiti MINUJUSTH,umeanzisha mbinu mpya ya kuimarisha utawala wa sheria na kuunga mkono vikosi vya usalama nchini humo.Mbinu hizo ni pamoja na utekelezaji wa ulinzi shirikishi baina ya vyombo vya usalama, asasi za kiraia, vyiongozi wa kisiasa na wananc