Wanawake na maendeleo

Imani dhidi ya polisi imerejea Sudan Kusini: Munyambo

Imani baina ya jamii na polisi nchini Sudan Kusini imerejea, miezi minne baada ya matukio ya kuuawa na kuporwa kwa raia katika vituo vya ulinzi vilivyo chini ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo

Sauti -

Imani dhidi ya polisi imerejea Sudan Kusini: Munyambo

Shambulio dhidi ya MINUSMA, watatu wauawa, saba wajeruhiwa

Shambulizi katika eneo la Mopti, kaskazini mwa Mali limesababisha vifo vya watu watatu wakiwemo raia wawili na mlinda amani mmoja huku watu wengine saba wamejeruhiwa.

Sauti -

Shambulio dhidi ya MINUSMA, watatu wauawa, saba wajeruhiwa

Ni ngumu kuondoa majonzi nikumbukapo wafanyakazi wa UM waliofariki kazini: Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amezungumza katika kumbukumbu ya wafanyakazi wa umoja huo waliofariki wakati wakihudumu maeneo mbalimbali zilimo ofisi za Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Ni ngumu kuondoa majonzi nikumbukapo wafanyakazi wa UM waliofariki kazini: Ban

Kukosa lishe bora ni umasikini

Katika mfululizo wa makala kuhusu dhima ya umasikini na hatua za kuukabili, leo tunamulika Uganda, ambapo tunaelezwa kuwa licha ya umasikini wa kipato, wananchi wanahitaji uwekezaji katika lishe bora itakayowaepusha na magonjwa na kadhia ngingine.

Sauti -

Kukosa lishe bora ni umasikini

Dhana na juhudi za kuutokomeza umasikini Tanzania

Wakati dunia imeadhimisha siku ya kuutokomeza umasikini mnamo Oktoba 17, maana ya dhana ya umasikini ambalo ni lengo namba moja la maendeleo endelevu SDGs,  imemulikwa.

Sauti -

Dhana na juhudi za kuutokomeza umasikini Tanzania