Wanawake na maendeleo

Ban alaani mfululizo wa mashambulizi ya anga Syria

Ban alaani mfululizo wa mashambulizi ya anga Syria

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani mashambulizi ya anga katika siku za hivi karibuni chini Syria ambayo yameua na kusababisha ulemavu  kwa makumi ya raia wa Syria na kuiacha Allepo Mashariki bila hospitali.

Sauti -

Viwanda endelevu ndio mwarubaini wa kukua kwa uchumi Afrika: Ban

Viwanda endelevu ndio mwarubaini wa kukua kwa uchumi Afrika: Ban

Kongeza uzalishaji na viwanda ni muhimu katika kuhakikisha maendeleo endelevu Afrika amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon.

Sauti -

Vyoo ni muhimu kwa ukuaji wa uchumi

Vyoo ni muhimu kwa ukuaji wa uchumi

sikuyavyooLeo ni siku ya choo duiani, Umoja wa Mataifa unasema siku hii ni muhimu kwa ajili ya kuhamasisha hatua za upuuzwaji wa huduma za kujisafi ambazo haz

Sauti -

Mapigano kusitishwa kwa saa 48 Yemen.

Mapigano kusitishwa kwa saa 48 Yemen.

yemenmisaada Umoja wa Mataifa umesema leo kuwa pande kinzani nchini Yemen zimakubali kusitisha mapigano kwa muda wa kuanzia wa saa 48.

Sauti -

Baraza la usalama lajadili ushirikiano kati ya UM na AU