Wanawake na maendeleo

Muarubaini wa suluhu ya Burundi ni makubaliano ya Arusha: Balozi Manongi

Suluhu la mgogoro wa kisiasa nchini Burundi lazima litokane na misingi ya makubaliano  ya Arusha  ambayo ilizaa matumaini kwa taifa hilo la Afrika Mashariki,  amesema mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini New York Balozi Tuvako Manongi.

Sauti -

Muarubaini wa suluhu ya Burundi ni makubaliano ya Arusha: Balozi Manongi

Ban alaani shambulio la kigaidi Uturuki

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani shambulio la kigaidi nchini Uturuki hii leo, shambulio linalodaiwa kuuwa watu kadhaa na kusababisha majeruhi.

Sauti -

Ban alaani shambulio la kigaidi Uturuki

Ban atiwa hofu na uchaguzi Comoro

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa  Ban Ki-moon amesema anafuatilia kwa wasiwasi maendeleo chini Comoro tangu tangazo la tume ya taifa ya uchaguzi CENI,  la matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais wa muungano wa nchi hiyo na awamu ya kwanza ya  uchaguzi wa magavana wa visiwa vya Comoro Kuu, Anjouan na

Sauti -

Ban atiwa hofu na uchaguzi Comoro

Ban asikitishwa kuahirishwa kwa uchaguzi Haiti.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Kin-moon ameelezea kusikitishwa kwake na hatua ya kuahirishwa kwa uchaguzi mchini Haiti hivi karibuni uchaguzi ambao ulipangwa kufanyika Januari 24.

Sauti -

Ban asikitishwa kuahirishwa kwa uchaguzi Haiti.

Hali ya kibinadamu yazidi kuzorota Yemen: McGoldrick

Mratibu wa masuala ya kibinadamu nchini Yemen, Jamie McGoldrick amesema juhudi za kuzifikia wilaya tatu zinazohitaji misaada ya kibinadamu nchini humo zinaendelea, ambapo mazungumzo na pande kinzani yanasongeshwa.

Sauti -

Hali ya kibinadamu yazidi kuzorota Yemen: McGoldrick