Wanawake na maendeleo

LRA, Boko Haram kikwazo cha amani Afrika ya Kati: UM

LRA, Boko Haram kikwazo cha amani Afrika ya Kati: UM

Kaimu Katibu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa katika ukanda wa Afrika ya Kati UNOCA Lounceny Fall amewasilisha ripoti ya Katibu Mkuu mbele ya baraza la usalama kuhusu hali ya usalama nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR akisema ingawa mchakato wa mpito ulikuwa wa amani, mapigano ya hivi karibuni ni k

Sauti -

Ban apongeza Gambia kwa uchaguzi wa amani.

Ban apongeza Gambia kwa uchaguzi wa amani.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa  Bna Ki-moon amewapongeza watu wa Gambia kwa kufanya uchaguzi mnamo Disemba mosi kwa amani na kufuata sheria.

Sauti -

Mabadiliko katika ngazi zote yanahitajika kwa kuleta usawa wa kijinsia kazini:UNDP

Mabadiliko katika ngazi zote yanahitajika kwa kuleta usawa wa kijinsia kazini:UNDP

Mabadiliko yanahitajika katika ngazi zote katika jamii ili kuboresha hali ya usawa wa kijinsia makazini , kwa mujibu wa afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Kutokuwepo usawa wa kijinsia kwaigharimu Afrika mabilioni ya dola:UNDP

Kutokuwepo usawa wa kijinsia kwaigharimu Afrika mabilioni ya dola:UNDP

Kutokuwepo usawa wa kijinsia kunaligharamu bara la Afrika wastani dola bilioni 95 kila mwaka na kupanda hadi kufikia dola bilioni 105 mwaka wa 2014 au asilimia sita ya pato la ndani la taifa wa kanda hiyo.

Sauti -