Wanawake na maendeleo

Wanawake DRC wajikwamua kiuchumi

Wanawake DRC wajikwamua kiuchumi

Uwezeshaji wa wanawake ambao nchi zao zimepitia katika mizozo ni changamoto kubwa ambayo inahitaji kutatuliwa kwa kupitia wanawake wenyewe pamoja na makundi mengine ya kijamii.Nchini Jamhuri ya Kidemokrasi aya Kongo DRC moja ya nchi yenye historia ya mizozo barani Afrika , wanawake wanajitutumua

Sauti -

Wataalam wa UM wamuomba Obama kutoa ripoti ya CIA kuhusu kuhoji washukiwa

Wataalam wa UM wamuomba Obama kutoa ripoti ya CIA kuhusu kuhoji washukiwa

Kundi la wataalamu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu wametoa wito kwa Rais wa Marekani Barack Obama kusaidia kikamilifu uwezekano wa kutolewa kwa ripoti juu ya mpango wa kuhoji washukiwa wa Shirika la Kijasusi la Marekani, CIA iliyofanywa na Kamati Teule ya Seneti ya Marekani kuhusu upelele

Sauti -

Uharibifu Mashariki ya Kati ukome na amani ianze: Ban

Uharibifu Mashariki ya Kati ukome na amani ianze: Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amesema anatiwa wasiwasi mkubwa na hali huko Yerusalem na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan akisema vitendo vya uchochezi vinavyohusisha maeneo matakatifu yanachochea moto wa vita mbali zaidi na miji matakatifu.

Sauti -

AMISOM na OCHA wazindua miongozo ya kurahisisha utendaji wao Somalia

AMISOM na OCHA wazindua miongozo ya kurahisisha utendaji wao Somalia

Ujumbe wa Afrika nchini Somalia, AMISOM na ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu misaada ya kibinadamu OCHA wamezindua miongozo mahususi kwa ajili ya kurahisisha utendaji wa wasaidizi wa kibanadamu na wale wa kijeshi nchini humo.Uzinduzi huo umefanyika mjini Mogadishu ambapo Naibu Mwakilishi wa U

Sauti -