Wanawake na maendeleo

Idadi ya wanawake kwenye masuala ya kisiasa bado ni ya chini

Chama cha bunge IPU kinasema kuwa hata kama mwaka 2011 ulishuhudia mabadiliko makubwa ya kisiasa na mabadiliko ya kidemokrasia kwenye sehemu tofauti za dunia, mwaka huo hata hivyo ulishuhudia idadi ndogo ya wanawake walioshiriki kwenye siasa.

Sauti -

Idadi ya wanawake kwenye masuala ya kisiasa bado ni ya chini

Shirika la wanawake wa UM kutoa dola milioni 10.5 kwa miradi ya kuwainua wanawake

Shirika la wanawake wa Umoja wa Mataifa wanatarajiwa kutoa dola jumla ya dola milioni 10.5 kwa minajili ya kuinua masuala ya wanawake ya kiuchumi na kisiasa kwa wanawake wa bara la Afrika, Asia na Pacific , America Kusini Caribbean, Ulaya na Asia ya kati.

Sauti -

Shirika la wanawake wa UM kutoa dola milioni 10.5 kwa miradi ya kuwainua wanawake

Wanawake bado wanaendelea kutupa au kutelekeza watoto Afrika

Kila kunapokucha hasa kwenye nchi za bara Afrika kunaripotiwa visa vya kutupwa kwa watoto wachanga mara wazaliwapo.

Sauti -

Wanawake bado wanaendelea kutupa au kutelekeza watoto Afrika

Umuhimu na thamani ya mwanamke wa Kijijini

Wiki hii kwenye Umoja wa Mataifa kunafanyika kongamano ambalo linajumuisha wanawake kutoka kila pembe kujadili umuhimu na thamani ya kila mwanamke kijijini.

Sauti -

Umuhimu na thamani ya mwanamke wa Kijijini