Wanawake na maendeleo

Migiro asema kwaheri Umoja wa Mataifa

Naibu Katubu Mkuu wa Umoja wa mataifa wiki hii anafungasha virago na kurejea nyumbani Afrika baada ya kuutmikia Umoja wa mataifa kwa miaka mitano.

Sauti -

Migiro asema kwaheri Umoja wa Mataifa

Masuala ya mifugo na sayansi yapewe kipaumbele Rio+20

 

Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo endelevu yaani Rio+20 Jumatano ndio umeanza rasmi kwa viongozi wa serikali na waku wan chi kutoa hotuba.

Muafaka wa matokeo ya mktano huo uliafikiwa Jumanne , suala ambalo dnia inasema hi hatua nzuri kelekea mafanikio.

Sauti -

Masuala ya mifugo na sayansi yapewe kipaumbele Rio+20

Wanawake wa dunia lazima wasikilizwe Rio+20

Kitengo cha wanawake cha Umoja wa Mataifa UN women kupitia mkurugenzi wake mkuu Michele Bachelet kimesisitiza kwamba sauti za wanawake lazima zisikilizwe.

Sauti -

Wanawake wa dunia lazima wasikilizwe Rio+20

Idara ya Wanawake ya UM Yajiunga kwenye UNAIDS Kupambana na UKIMWI

Kujumuishwa kwa UN Women kama mshiriki rasmi, ambako kumeidhinishwa leo kwenye mkutano wa halmashauri ya UNAIDS, kunatarajiwa kuimarisha juhudi za shirika hilo zinazohusiana na maswala ya usawa wa jinsia katika kukabiliana na UKIMWI.
Sauti -

Idara ya Wanawake ya UM Yajiunga kwenye UNAIDS Kupambana na UKIMWI

Rais mpya wa Malawi ni mwanaharakati wa masuala ya wanawake

Mwanaharakati wa kupigania haki za wanawake nchini Malawi Joyce Banda amekuwa mwanamke wa kwanza kuwa Rais Kusini mwa Afrika baada ya kushika wadhifa huo kufuatia kifo cha Rais Bingu wa Mutharika.

Sauti -

Rais mpya wa Malawi ni mwanaharakati wa masuala ya wanawake