Wanawake na maendeleo

Kukosa lishe bora ni umasikini

Kukosa lishe bora ni umasikini

Katika mfululizo wa makala kuhusu dhima ya umasikini na hatua za kuukabili, leo tunamulika Uganda, ambapo tunaelezwa kuwa licha ya umasikini wa kipato, wananchi wanahitaji uwekezaji katika lishe bora itakayowaepusha na magonjwa na kadhia ngingine.

Sauti -

Dhana na juhudi za kuutokomeza umasikini Tanzania

Dhana na juhudi za kuutokomeza umasikini Tanzania

Wakati dunia imeadhimisha siku ya kuutokomeza umasikini mnamo Oktoba 17, maana ya dhana ya umasikini ambalo ni lengo namba moja la maendeleo endelevu SDGs,  imemulikwa.

Sauti -

Kikosi cha usalama Sudan Kusini kitaimarisha amani: Mogae

Kikosi cha usalama Sudan Kusini kitaimarisha amani: Mogae

Kupelekwa kwa kikosi cha ulinzi nchini Sudan Kusini ni hatua muhimu katika kusaka amani nchini humo amesema Mwenyekiti wa Kamisheni ya pamoja ya kufuatilia na kutathmini hali nchini humo JMEC, Festus Mogae.

Sauti -

Ugatuzi ni muhimu katika maendeleo endelevu: Ban

Wakati mkutano kuhusu makazi na maendeleo endelevu ya mijini (Habitat III), unatarajiwa kuanza hapo Jumatatu ya Oktobaa 17 mjini Quito, mikutano ya awali imeendelea ikiwamo jumuiko la dunia la serikali za mitaa ambapo imeelezwa kuwa viongozi wa serikali za mitaa wana wajibu muhimu katika maendele

Sauti -

Ugatuzi ni muhimu katika maendeleo endelevu: Ban

Ban ashuhudia uharibifu wa kimbunga Matthew na kusema hali ni tete: Ban