Wanawake na maendeleo

Baraza la usalama yapitisha azimio la kupeleka polisi Burundi

Baraza la usalama yapitisha azimio la kupeleka polisi Burundi

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio namba 2303 la kuepeleka maafisa wa polisi 228 nchini Burundi, taifa ambalo limeingia katika machafuko baada ya uchaguzi mkuu mwaka jana.

Sauti -

Ban alaani mapigano Mali