Wanawake na maendeleo

UNESCO yatuma ujumbe Syria kutathimini uharibifu wa Palmyra

UNESCO yatuma ujumbe Syria kutathimini uharibifu wa Palmyra

Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu,sayansi na utamaduni UNESCO limetuma ujumbe wa haraka wa kutathimini eneo la urithi wa du

Sauti -

Afrika iwezeshwe kukabiliana na majanga : O'Brien

Afrika iwezeshwe kukabiliana na majanga : O'Brien

Mkutano kuhusu uwezo wa Afrika katika kukabiliana na majanga ya kibinadamu umefanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa ambapo viongozi kadhaa wamehutubia akiwamo Mratibu Mkuu wa masuala ya kibinadamu, Stephen O'Brien ambaye amesema bara hilo linakabiliwa na changamoto zinazohitaji misaada y

Sauti -

Ban akaribisha matokeo mkutano wa nyukilia

Ban akaribisha matokeo mkutano wa nyukilia

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amekaribisha matokeo ya mkutano wa nyukilia wa  mwaka 2016 mjini Washington Marekani, akipongeza  tamko lililopitishwa na nchi shiriki pamoja na mpango mkakati katika kusaidia Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Ban abughudhiwa na kuzuka upya mapigano ya Nagorno-Karabakh.

Ban abughudhiwa na kuzuka upya mapigano ya Nagorno-Karabakh.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema anabughudhiwa na taarifa za hivi karibuni za uvunjaji wa kiwango kikubwa wa makubaliano ya kusitisha mapigano katika ukanda ukanda wa machafuko wa Nagorno-Karabakh.

Sauti -