Wanawake na maendeleo

Kilimo cha mpunga chainua wakulima Tanzania

Kilimo cha mpunga chainua wakulima Tanzania

Kilimo cha mpunga kimebadilisha maisha ya wakulima nchini Tanzania hususani mkoa wa Mbeya ambapo mafunzo kutoka kwa wataalamu wa afya ni sababu moja wapo ya kuongeza mazao.

Ungana na Alex Punte wa redio washirika Kyela Fm ya Mbeya nchini humo katika makala ifuatayo.

Sauti -

Mkimbizi mmoja kati ya 10 atahitaji makazia mapya: UNHCR

Mkimbizi mmoja kati ya 10 atahitaji makazia mapya: UNHCR

Mkimbizi mmoja kati ya wakimbizi 10 wa Syria atahitaji makazi mapya au suluhisho jingine katika miaka mitatu ijayo limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -

Misitu ikilindwa tutaokoa fedha: Ban

Misitu ikilindwa tutaokoa fedha: Ban

 

Katika ujumbe wake kwa ajili ya siku ya kimataifa ya misitu,  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema rasilimali hiyo kote duniani ni muhimu katika kutambua lengo la pamoja kwa ajili ya watu na sayari.

Sauti -

Muarubaini wa suluhu ya Burundi ni makubaliano ya Arusha: Balozi Manongi

Muarubaini wa suluhu ya Burundi ni makubaliano ya Arusha: Balozi Manongi

Suluhu la mgogoro wa kisiasa nchini Burundi lazima litokane na misingi ya makubaliano  ya Arusha  ambayo ilizaa matumaini kwa taifa hilo la Afrika Mashariki,  amesema mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini New York Balozi Tuvako Manongi.

Sauti -

Ban alaani shambulio la kigaidi Uturuki

Ban alaani shambulio la kigaidi Uturuki

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani shambulio la kigaidi nchini Uturuki hii leo, shambulio linalodaiwa kuuwa watu kadhaa na kusababisha majeruhi.

Sauti -