Wanawake na maendeleo

UM waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kupanda mlima Kilimanjaro

Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na makundi mengine ya kiharakati pamoja na serikali ya Tanzania umeadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kupanda mlima kulimanjaro kama ishara mojawapo ya kusuma mbele nafasi ya mwanamke huku ikipinga vitendo vya dhulma dhidi yao.

Sauti -

UM waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kupanda mlima Kilimanjaro

AU, UNiTE waadhimisha siku ya wanawake kwa kupanda mlima Kilimanjaro

Umoja wa Mataifa kupitia mpango wa kupinga ukatili dhidi ya wanawake UNiTE wakishirikiana na makundi mengine ya kupigania haki za wanawake, Muungano wa Afrika na serikali ya Tanzania wameadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kupanda mlima Kilimanjaro.
Sauti -

AU, UNiTE waadhimisha siku ya wanawake kwa kupanda mlima Kilimanjaro

Kuwawezesha wanawake wa vijijini kuna umuhimu gani?

Kauli mbiu ya mwaka huu ya siku ya wanawake duniani ni kumuwezesha mwanamke wa kijijini, kwa mujibu wa kitengo cha Umoja wa Mataifa kinachoshughulikia masuala ya wanawake UN Women mchango wa mwanamke wa kijiji umekwa haupewi uzito unaostahili ndio maana kauli mbiu hiyo imetolewa mwaka huu kutoa m

Sauti -

Kuwawezesha wanawake wa vijijini kuna umuhimu gani?

Kuwekeza kwa wanawake wa vijijini ni uwekezaji mwerevu : Ban

Leo ni siku ya kimataifa ya wanawake na kauli mbiu ya mwaka huu ni kuwawezesha wanawake wa vijijini.

Wanawake wa vijijini wanaweza kuboresha maisha ya jamii nzima endapo watapewa fursa ya kuwa na rasilimali na kutobaguliwa.

Sauti -

Kuwekeza kwa wanawake wa vijijini ni uwekezaji mwerevu : Ban

Kuwawezesha wanawake ili wawe wawakilishi dhidi ya umaskini na njaa

Wanawake wa vijijini wanatambuliwa katika UM kama kiungo muhimu kwa maendeleo endelevu na watakaowezesha vita dhidi ya umaskini na njaa.

Katika tamaduni tofauti wanawake ndio hufanya kazi mashambani.

Sauti -

Kuwawezesha wanawake ili wawe wawakilishi dhidi ya umaskini na njaa