Wanawake na maendeleo

Kiu yangu ni kumkomboa mwanamke mwenzangu Burundi:Hafsa Mossi

Wakati ulimwengu wiki hii umeadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake hapo Machi 08 ikiambatana na kauli mbiu kuwawezesha wanawake wa vijijini.

Sauti -

Kiu yangu ni kumkomboa mwanamke mwenzangu Burundi:Hafsa Mossi

Mwanamke aliyejitolea kuwasaidia watoto wasichana na wanawake kwa jumla:Mukamabano

Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Wanawake duniani kuna wanawake mbali mbali wanaojitoa kusaidia wanawake wenzao na wasichana. Miongoni mwao ni Marie Claudine Mukamabano kutoka nchini Rwanda ambaye anaishi Marekani. Marie ameanzisha kituo cha kuwalea watoto yatima nchini Rwanda.

Sauti -

Mwanamke aliyejitolea kuwasaidia watoto wasichana na wanawake kwa jumla:Mukamabano

Wanawake wako kwenye hali tete

Wakati ulimwengu hii leo ukiadhimisha siku ya wanawake, mwaka 2012 unachukua sura ya majuto na misukumisuko mikubwa inayowaandama wanawake hao.

Sauti -

Wanawake wako kwenye hali tete

Umuhimu wa kuwawezesha Wanawake Vijijini

Kauli mbiu ya mwaka huu ya siku ya wanawake duniani ambayo ni kumuwezesha mwanamke wa kijijini, kwa mujibu wa kitengo cha Umoja wa Mataifa kinachoshughulikia masuala ya wanawake UN Women mchango wa mwanamke wa kijiji umekwa haupewi zito unaostahili ndio maana kauli mbiu ya hiyo imetolewa mwaka hu

Sauti -

Umuhimu wa kuwawezesha Wanawake Vijijini

Mahiga ataka kuwe na usawa wa kijinsia na kuwajumuisha wanawake kwenye masuala muhimu

Siku ya kiamataifa ya wanawake ikiadhimishwa hii leo ofisi inayohusika na masuala ya kisiasa ya Umoja wa mataifa kuhusu Somalia UNPOS imeonyesha uzalendo wake kwa wanawake kote duniani hasa walio kwenye maeneo yanayokabiliwa na mizozo na kuunga mkono jitihada za wanawake za kuleta amani nchini
Sauti -

Mahiga ataka kuwe na usawa wa kijinsia na kuwajumuisha wanawake kwenye masuala muhimu