wanaume

Rushwa na jinsia

Wanawake na wanaume wanathirika tofauti na rushwa au ufisadi, lakini hakuna ushahidi wa kubainisha nani kati yao anaathirika kidogo.

Wavulana nao ni waathirika wa ndoa katika umri mdogo- UNICEF

Takriban watoto wavulana na wanaume milioni 115 walioa wakiwa watoto kwa mujibu wa ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto duniani,

Sauti -
2'23"

Wanawake na wanaume wakishika nafasi za juu kwenye uongozi, tija ni dhahiri- ripoti

Ripoti mpya ya shirika la kazi duniani, ILO imeonesha kuwa kampuni za kibiashara zenye uongozi wa ngazi ya juu ulio na mchanganyiko mzuri

Sauti -
1'52"

Israel acheni sera yenu dhidi ya waafrika- UNHCR

Chonde chonde Israel acheni kuwahamishia nchi ya tatu wakimbizi wa Eritrea na Sudan walioko nchini humo. Assumpta Massoi na ripoti kamili.

(Taarifa ya Assumpta Massoi)

Sauti -

Israel acheni sera yenu dhidi ya waafrika- UNHCR

Bila huduma dhidi ya VVU ningalikuwa mfu hivi sasa- Mpho

Ikiwa leo ni siku ya Ukimwi duniani, ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa linaloongoza harakati dhidi ya Ukimwi, UNAIDS imeonyesha kuwa wanaume ni wagumu zaidi kukubali kupima Virusi Vya Ukimwi, kuliko wanawake. Flora Nducha na ripoti kamili.

Sauti -

Bila huduma dhidi ya VVU ningalikuwa mfu hivi sasa- Mpho