Papa Francis apongezwa na UN kwa juhudu zake za kuleta amani duniani na kuwatetea wanyonge
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amempongeza kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis kwa kupunguza madhila kwa watu na kutetea hadhi ya haki za binadamu.