wakimbizi

Mume wangu na wanangu 4 waliuawa napata faraja kwa kuwasaidia wanawake wengine:Sabuni Chikunda

Tukiwa bado na siku 16 za harakati za kupinga uakatili wa kijinsia dhidi ya wanawake, leo tunamulika mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC , Francoise Sabuni Chikunda ambaye amepitia madhila yasiyoelezeka, ikiwemo kubakwa na hata familia yake kuuawa, lakini yote hayo hayakumkatisha tamaa bali yamempa ujasiri wa kuwa nuru ya wanawake wakimbizi wenzake katika makazi ya wakimbizi ya Nakivale nchini Uganda.

UNHCR yaitaka Ethiopia kuruhusu kufikiwa wakimbizi 96,000 wasio na chakula Tigray

Shirika la Umoja wa Mastaifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR leo limeiomba serikali ya Ethiopia kulipa ruhusa ya dharura ili kuweza kuwafikia wakimbizi 96,000 kutoka Eritrea waliokwama kwenye jimbo la Tigray ambao sasa hawana huduma muhimu ikiwemo chakula kutokana na machafuko yanayoendelea kwa mwezi mmoja sasa. 

Dunia inahitaji kuchukua hatua zaidi kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi-UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, kesho Jumatano likifanya mkutano wa ngazi ya juu kushughulikia athari za maba

Sauti -
1'49"

Wakimbizi wanaendelea kumiminika Sudan kutoka Tigray, Ethiopia

Wakati idadi ya watu wanaokimbia jimbo la Tigray nchini Ethiopia kuingia mashariki mwa Sudan sasa imezidi 40,000, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi,

Sauti -
2'14"

UN yakaribisha uteuzi wa wajumbe watatu AU kwa ajili ya kutatua mzozo wa Ethiopia 

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amerkaribisha hatua ya jana Ijumaa ya Muungano wa Afrika AU, ya uteuzi wa wajumbe watatu wa ngazi ya juu ili kusaidia juhudi za kusaka suluhu ya amani ya mgogoro wa jimbo la Tigray nchini Ethiopia. 

Tumepoteza kila kitu:Wakimbizi wa Ethiopia, miaka yote tuliyofanya kazi imepotea bure.  

Maelfu kwa maelfu ya wakimbizi wa Ethiopia kutoka jimbo la Tigray wanaokimbilia Sudan kunusuru maisha yao, wanapitia madhila mengi ikiwa ni pamoja na kupoteza wapendwa wao na kutojua mustakabali wao limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -
1'46"

Miaka yote tuliyofanya kazi imepotea bure, tumepoteza kila kitu:Wakimbizi wa Ethiopia 

Maelfu kwa maelfu ya wakimbizi wa Ethiopia kutoka jimbo la Tigray wanaokimbilia Sudan kunusuru maisha yao, wanapitia madhila mengi ikiwa ni pamoja na kupoteza wapendwa wao na kutojua mustakabali wao limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR.

Wakimbizi kutoka Tigray Ethiopia waendelea kumiminika Sudan:UNHCR 

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema mgogoro unaoendelea katika jimbo la Tigray Kaskazini mwa Ethiopia unazidi kuwa mbaya na kuwalazimisha maelfu ya watu kufungasha virago na kukimbilia nchi jirani ya Sudan nusu yao wakiwa ni watoto  hadi kufikia leo raia 27,000 wamewasili Sudan katika maeneo mbalimbali.

Mashahiri yatumika kupinga ukatili kwa watoto miongoni mwa wakimbizi Uganda wakati wa COVID-19  

Kufuatia mlipuko wa COVID-19 mnamo Machi mwaka huu nchini Uganda, shule zilifungwa na hivyo kuwaweka hatarini watoto kukumbana na ukatili wa kijinsia hasa katika makazi ya wakimbizi ambako hud

Sauti -
3'29"

21 Oktoba 2020

Ungana na Assumpa Massoi kwa habari, makala na mashinani

Sauti -
12'48"