wakimbizi

Wanamichezo wakimbizi wanaoshiriki Olympiki watumiwa salamu za heri na familia zao

Wanamichezo wakimbizi wanaoshiriki katika michuano ya Olympiki Tokyo Japan wametumiwa salamu za heri na familia zao zilizoko katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma nchini Kenya.

Sauti -
1'58"

Nakuombea ushinde ili tusherehekee sote: Mzazi wa mwanariadha mkimbizi Tokyo 

Wanamichezo wakimbizi wanaoshiriki katika michuano ya Olympiki Tokyo Japan wametumiwa salamu za heri na familia zao zilizoko katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma nchini Kenya.  Hiyo ni kwa mujibu wa video ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR.

Wakimbizi wakumbuka machungu waliyopitia

Ikiwa leo ni miaka 70 tangu kusainiwa kwa mkataba wa kimataifa wa wakimbizi mwaka 1951, wanufaika wa nyaraka hiyo wanashukuru kwa kuwa bila nyaraka hiyo maisha yao yangalikuwa ya tabu .

Sauti -
2'39"

Mkataba wa wakimbizi watimiza miaka 70 leo 

Ikiwa leo ni miaka 70 tangu kusainiwa kwa mkataba wa kimataifa wa wakimbizi mwaka 1951, wanufaika wa nyaraka hiyo wanashukuru kwa kuwa bila nyaraka hiyo maisha yao yangalikuwa ya tabu .

21 Julai 2021

Jaridani Julai 21, 2021-

UN yaendelea kuwasaidia wakimbizi wa ndani walioyakimbia mashambulizi katika makazi yao Sudan Kusini.

Sauti -
11'49"

Julai 13, 2021

Hii leo utasikia ripoti ya mashirika ya Umoja wa Mataifa inayoeleza kufunguliwa kwa shule na vyuo vya elimu baada ya kufungwa mwaka jana kutokana na janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 kume

Sauti -
14'57"

JULY 02, 2021

Karibu usikilize Jarida ambapo leo utasikia kuhusu kurejea kwa operesheni za WFP za kusambaza chakula jimboni Tigray nchini Ethiop

Sauti -
9'56"

Simulizi ya Mkimbizi ambaye ni Mhandisi katika kambi nchini Sudan

Mihret Gerezgiher mwenye umri wa miaka 25 ni mkimbizi kutoka Ethiopia lakini sasa anaishi katikamakazi  ya wakimbizi  ya Tunaydbah Mashariki mwa Sudan.

Sauti -
2'13"

Mungu anatuambia tusipoteze matumaini nami sijapoteza yangu: Mkimbizi Mihret

Mihret Gerezgiher mwenye umri wa miaka 25 ni mkimbizi kutoka Ethiopia lakini sasa anaishi katika makazi  ya wakimbizi  ya Tunaydbah Mashariki mwa Sudan. Alilazimika kukimbia na nguo alizovaa tu na kuacha kila kitu machafuko yaliposhika kasi jimboni kwake Tigray Novemba 2020, unyama alioushuhudia anasema bado unampa jinamizi kila alalapo

Sijui nani atanipatia hakikisho la maisha ya baadaye ya wanangu- Mkazi Gaza

Mashambulizi ya mara kwa mara katika Ukanda wa Gaza, Palestina yamesababisha mama wa watoto watatu wa kiume kuwaza na kuwazua kuhusu mustakabli wa watoto hao ambao kila uchao ndoto zao zinakumbwa na sintofahamu.