wakimbizi

Mambo yakizidi kuchacha Yemen wasomali Zaidi ya 4000 warejea nyumbani:UNHCR

Karibu Wasomali 4300 sasa wamerejea nyumbani kutoka Yemen tangu mchakato wa kuwasaidia wakimbizi kurejea nyumbani kwa hiyari ulipoanza kutekelezwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR mwaka 2017.

Ghasia Nigeria zafurusha maelfu hadi Niger

Ongezeko la machafuko na mashambulizi  ya hivi karibuni katika baadhi ya sehemu za Kaskazini Magharibi mwa Nigeria yamewalazimisha watu takribani 20,000 kufangasha virago na kukimbilia Niger  kusaka usalama.Grace Kaneiya na tarifa kamili

Sauti -
2'11"

23 Mei 2019

Leo katika Jarida na Habari la Umoja wa Mataifa Grace Kaneiya anakuletea

-Umoja wa Mataifa watangaza mikakati mipya ya kukabiliana na Ebola Congo DRC, chini ya utaribnu maalum wa David Gressely

Sauti -
13'34"

Familia moja nchini Kenya yarejesha ndoto ya masomo kwa mkimbizi kutoka Burundi

Nchini Kenya, mradi wa pamoja wa Muungano wa Ulaya na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF pamoja na shirikisho la makanisa ya kilutheri duniani, umesaidia kulinda wakimbizi watoto kwenye kambi ya Kakuma nchini Kenya baada ya kukimbia  madhila katika nchi zao. 

UN yasema pamoja na ukarimu wa Afrika, sasa imelemewa na mzigo wa wakimbizi.

Afrika imepongezwa kwa ukarimu wake hasa wa kupokea mamilioni ya watu wanaosaka usalama wakikimbia vita na utesaji.

Sauti -
3'55"

21 Mei 2019

Katika jarida la Habari hii leo Grace Kaneiya anakuletea

-Afrika yalemewa na mzigo wa wakimbizi licha ya ukarimu mkubwa bara hilo sasa lahitaji msaada yasema UNOSAA

Sauti -
12'2"

Pamoja na ukarimu wake sasa Afrika yalemewa na mzigo wa wakimbizi:UN

Afrika imepongezwa kwa ukarimu wake hasa wa kupokea mamilioni ya watu wanaosaka usalama wakikimbia vita na utesaji. Hata hivyo  idadi ya watu wanaotawanywa na kulazimika kukimbia makwao hadi kufikia mwisho kwa mwaka 2017 ilikuwa milioni 24.2 , na kulibebesha mzigo mkubwa wa kiuchumi bara hilo. 

Wale wanaokimbia Venezuela wanahitaji kupewa ulinzi wa kimataifa - UNHCR

Kutokana na hali ya kisiasa, kiuchumi na ya haki za binadamu kuzidi kuzorota nchini Venezuela ambayo saa imewalazimu watu milioni 3.7 kuondoka,shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR linasema kuwa wengi wa wale wanaokimbia nchi wanastahili kupewa usalama  na ulinziwa kimataifa.

Idadi ya vifo na majeruhi Yemen inatisha:UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema limeshtushwa na lina hofu kubwa kufuatia ripoti za vifo v

Sauti -
1'47"

Idadi ya vifo na majeruhi Yemen inashtua-UN

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema limeshtushwa na lina hofu kubwa kufuatia ripoti za vifo vya raia na majeruhi wakati mashambulizi yalipoughubika mji wa Sana’a nchini Yemen jana Alhamisi