wakimbizi

Ubia wa UNHCR na EAA waleta nuru kwa watoto wakimbizi

Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR Filippo Grandin a muasisi wa taasisi ya Elimu kuzidi vyote, EAA Sheikha Moza bint Nasser wa Qatar, wako nchini Malaysia ambako wameshuhudia jinsi EAA iliyosaidia kuelimisha watoto wakimbizi wa ndani na wale waliotoka nchi jirani.

Umoja wa Mataifa wahimiza kutowasahau wakimbizi wa Rohingya

Umoja wa Mataifa umesisitiza ari yake kuendelea kuhakikisha usalama na suluhu ya kudumu kwa wakimbizi warohingya kutoka Myanmar na kukumbusha juhudi za Umoja huo katika kuweka mazingira salama kuwawezesha kurejea nyumbani.

Sauti -
2'16"

22 Aprili 2019

Hii leo jaridani,  Arnold Kayanda anaanzia makao makuu ya Umoja wa Mataifa ambapo Jukwaa la kudumu la watu wa asili linaanza na tumezungumza na Dkt. Elifuraha Laltaika ambaye ni makamu mwenyekiti wa jopo la wataalamu huru wa masuala ya watu wa asili.

Sauti -
11'57"

Mradi wa shanga huko Kakuma wainua wenyeji wanaohijfadhi wakimbizi

Wakimbizi na jamii zinazowahifadhi nchini Kenya, wamepata mbinu ya kujipatia kipato huko Kolobeyei, kambi ya Kakuma  kufuatia ufadhili wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi,

Sauti -
1'33"

Kauli ya mkimbizi Kakuma kwamba bora elimu kuliko elimu bora ni ishara ya kiwango cha huduma hiyo-Onano

Mshauri wa vijana katika ripoti itolewayo kila mwaka ya ufuatiliaji wa elimu duniani, GEMR, Vivian Onano amezungumzia kile ambacho wakimbizi vijana wanataka kuhusu elimu baada ya kukutana nao na kuishi nao kwenye kambi ya Kakuma nchini Kenya.

Sauti -
1'46"

Wakati wa kutatua changamoto za wakimbizi ni sasa:Grandi

Hakuna wakati mwingine muafaka wa kutatua changamoto kubwa zinazowakabili wakimbizi, waomba hifadhi, wakimbizi wa ndani na watu wanaofungasha virago kila uchao kwenda kusaka amani na mustakabali bora bali ni sasa.

Watoto milioni 1.1 Venezuela watahitaji msaada mwaka 2019

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF leo limesema kufuatia mzozo wa Venezuela takriban watoto milioni 1.1 ikiwemo waliolazimika

Sauti -
2'9"

Sikujua lolote kuhusu wakimbizi hadi nilipokutana na Jean:Msamaria Annita 

Miaka minne iliyopita msamaria mwema Annita Sangili raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 43 alikutana na mkimbizi kwenye basi maarufu kama matatu jijini Nairobi , mkimbizi aliyelazimika kulala kwenye basi kwa kukosa kwa kwenda akisaka msaada wa kumfikisha kanisani ilia pate hifadhi.