Wakimbizi wa DRC

Maelfu ya wakimbizi wa wanarejea nyumbani DRC wakitokea Angola-UNHCR

Msemaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, Andrej Mahecic, hii leo mjini Geneva Uswisi amesema inakadiriwa kuwa wakimbizi 8,500 kwa hiyari yao wameondoka katika makazi ya wakimbizi ya Lóvua katika jimbo la Lunda Norte nchini Angola tangu tarehe 18 mwezi huu wa Agosti kwa lengo la kurejea nyumbani Jamhuri ya kidemkrasia ya DRC.

02 Aprili 2018

Katika jarida la leo tunaangazia siku ya kimataifa ya uelimishaji kuhusu usonji na wito wa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa wa kusimamia haki ya watu wenye usonji na kupazia sauti ubaguzi dhidi yao. Pia tunakuletea makala ikiangazia mvua kali zilizosababisha maporomoko ya ardhi Gatunguru jijini Bujumbura, Burundi.

Sauti -
9'59"