wahamiaji

Si lazima kwenda nje ya nchi kutimiza ndoto zako

Wahamiaji waliorejea nyumbani kwa hiari baada ya mateso nchini Libya na Niger wameamua kujihusisha na shughuli za kiuchumi ili kuboresha maisha yao. Selina Jerobon na ripoti kamili.

(Taarifa ya Selina Jerobon)

Sauti -

Si lazima kwenda nje ya nchi kutimiza ndoto zako

Niliponea chupuchupu jangwani- Mhamiaji

Angalia hapa, hili ni jeraha la risasi ambayo nilifyatuliwa wakati nakimbia jangwani nikisaka maisha bora, ni kauli ya mmoja wa wasaka hifadhi ambaye amerejea nyumbani nchini Guinea baada ya kukumbwa na madhila huko Libya.

Sauti -

Niliponea chupuchupu jangwani- Mhamiaji

Nuru zaidi yaangazia wakimbizi walioko korokoroni Libya

Harakati za kuhamisha kutoka Libya wakimbizi walio hatarini zaidi zinaendelea chini  ya usimamizi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi,

Sauti -

Nuru zaidi yaangazia wakimbizi walioko korokoroni Libya

Washindi wa habari bora kuhusu uhamiaji watangazwa

Ikiwa leo ni siku ya wahamiaji duniani, shirika la kazi ulimwenguni ILO limetangaza washindi wanne wa shindano la kimataifa la uandishi wa

Sauti -

Washindi wa habari bora kuhusu uhamiaji watangazwa

Hatma ya uhamiaji wa kimataifa; Macho na masikio vyaelekezwa Mexico

Mkutano wa kuandaa rasimu ya kwanza ya makubaliano ya kimataifa kuhusu uhamiaji unaanza leo huko Puerto Vallarta nchini Mexico, ikielezwa kuwa jambo la msingi ni kuhakikisha makubaliano hayo yanazingatia utofauti wa mahitaji ya wahamiaji kote ulimwenguni.

Sauti -