wahamiaji

UNHCR imeitaka Uguriki kushughulikia msongamano kwenye vituo vya mapokezi

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR leo limeitaka serikali ya Ugiriki kushughulikia tatizo la msongamano kwenye kituo cha mapokezi cha baharini Aegean na vituo vya utambuzi wa wahamiaji na waomba hifadhi (RICs) ambavyo hujulikana kama vituo mashuhuri. 

Ahueni kwa wahamiaji baada ya mkwamo Diciotti kumalizika

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limeeleza furaha yake baada ya kumalizika kwa mkwamo wa wahamiaji 140 waliokuwa wamesalia kwa siku sita ndani ya meli ya uokozi ya Diciotti katika pwani ya Sicily nchini Italia.