wahamiaji

Wafanyakazi wahamiaji wasibinywe haki zao- ILO

Kuwatendea haki wafanyakazi wahamiaji takribani milioni 150 duniani ni sula lililo katika dhamira ya kila mtu, na linahitaji mpango mzuri na unaotekelezeka amesema mkurugenzi mkuu wa shirika la kazi duniani

Sauti -
1'32"

Wafanyakazi wahamiaji wanastahili haki: ILO

Kuwatendea haki wafanyakazi wahamiaji takribani milioni 150 duniani ni sula lililo katika dhamira ya kila mtu, na linahitaji mpango mzuri na unaotekelezeka amesema mkurugenzi mkuu wa shirika la kazi duniani ILO.

UNHCR yahamisha wakimbizi 150 kutoka Libya na kupelekwa Italia

Wakimbizi 150 walio hatarini Libya leo wameshamishwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR kutoka nchini humo  hadi Italia.

Bila takwimu hatuwezi kuwasaidia watoto wote wakimbizi:UNICEF

Mapengo kwenye takwimu za wakimbizi, wahamiaji na wakimbizi wa ndani yanaweka hatarini maisha na mustakhbali wa mamilioni ya watoto waliosafarini, yameonya leo mashirika matano ya Umoja wa Mataifa na wadau wake.

Sauti -
2'

Makala ya Assumpta Massoi kuhusu bendi ya wakimbizi huko Brazil.

Nchini Brazil wakimbizi kutoka maeneo 10 tofauti duniani kuanzia Afrika hadi Asia na Mashariki ya Kati wameungana ili kutumia lugha moja inayofahamika zaidi duniani kusuuza siyo tu roho zao bali jamii  inayowazunguza.

Sauti -
4'3"

Wasaka hifadhi 90 wafa maji pwani ya Libya

Taarifa zilizotolewa leo na  Shirika la Umoja wa mataifa la uhamiaji IOM z inasema, wahamiaji 90 wameripotiwa kufa maji baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kupinduka na kuzama katika bahari mediteranea pwani ya Libya. Patrick Newman na maelezo kamili .