Harakati za kuhamisha kutoka Libya wakimbizi walio hatarini zaidi zinaendelea chini ya usimamizi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi,
Shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM, limeanza operesheni ya kuwarejesha makwao maelfu ya wahamiaji, kufuatia makubaliano baina ya shirika hilo, Muungano wa Afrika, AU, Muungano wa Ulaya, EU na serikali ya Libya.