wafugaji

Mabadiliko ya tabianchi yawaathiri wafugaji Arusha Tanzania

Umoja wa Mataifa ukiendelea kutaka hatua zaidi kwa ajili ya tabianchi kama njia mojawapo ya kukabiliana na madhara ya mabadiliko ya tabianchi nchini Tanzania madhara hayo yako dhahiri kwa wafugaji wa wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha ambao kupitia taarifa hii iliyoandaliwa na Mathias Tooko wa Ra

Sauti -
1'54"

Watu zaidi ya 100,000 watawanywa na machafuko Cameroon:UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema mapigano kati ya jamii yaliyozuka huko Kaskazini mwa Cameroon katika kipindi cha wiki mbili zilizopita yamewafurusha takriban watu 100,000 kutoka makwao, na idadi hiyo inaweza kuwa kubwa zaidi. 

18 Novemba 2021

Hujambo na karibu kusikiliza jarida ambapo miongoni mwa ukayosikia leo ni pamoja na;- 

Kura ya maoni iliyoendeshwa katika nchi 21 ikihusisha watoto na watu wazima zaidi ya 21,000 imeonesha kuwa watoto wanaamini dunia inakuwa bora zaidi huku watu wazima wakiwa na shaka na shuku.

Sauti -
11'23"

Sababu saba ni kwa nini ufugaji unachangia mustakbali bora:FAO

Ufugaji wa kuhamahama, ni njia ya kitamaduni ya ufugaji, ambayo inawaajiri zaidi ya watu milioni 200 kwenye nchi 100 kwa mujibu wa shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO.  

Mbinu za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi zaleta uhasama baina ya wakulima wavuvi na wafugaji

Wakati Mkutano wa 26 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya Tabianchi COP26 ukiwa umemalizika mwishoni mwa wiki huko Scotland huku Afrika ikisema haijafanikiwa ilivyotaraji, huko nchini Cameroon mabadiliko ya tabianchi yameleta uhasama baina ya wafugaji, wakulima na wavuvi, sababu kubwa ya

Sauti -
2'44"

FAO yawapiga jeki wafugaji na wakulima Togo

Maji ni hai ni kauli ambayo imethibitika kwa wakazi wa jimbo la Dankpen nchini Togo, baada ya Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la chakula na kilimo,

Sauti -
1'55"

Janga la nzige laendelea kuzusha zahma kubwa kwa wakulima na wafugaji Yemen:FAO 

Maisha ya wakulima na wafanyakazi yameendelea kupata pigo kubwa kutokana na janga linaloendelea la nzige nchini Yemen ambao wamesambaratisha mazao, malisho ya mifugo na kuongeza shinikizo kwa maelfu ya watu ambao tayari wamechoshwa na miaka ya vita vinavyoendelea nchini humo limesema shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO.

Dola milioni 100 zahitajika haraka kuwanusuru wakulima, wavuvi na wafugaji Yemen:FAO

Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa

Sauti -
1'43"

Dola milioni 100 zahitajika haraka kuwanusuru wakulima, wavuvi na wafugaji Yemen:FAO

Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO, leo limetoa ombi la dola milioni 100 zinazohitajika haraka ili kunusurua maisha ya wakulima, wafugaji ,wavuvi  na familia zao nchini Yemen.

Ingawa tumepiga hatua kibarua bado kikubwa kutokomeza nzige wa jangwani:FAO

Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula la kilimo FAO limesema limepiga hatua kubwa katika vita dhidi ya nzige wa jangwani katika eneo la Afrika Mashariki na Yemen lakini limeonya kwamba tishio la nzige hao katika uhakika wa chakula bado ni kubwa.