WA LONE

07 - 05 - 2019

Hatimaye wanahabari wawili wa Reuters waliokuwa wamehukumiwa kifungo nchini Myanmar wameachiliwa  huru, Umoja wa Mataifa wazungumza lakini ofisi ya haki za binadamu yasema bado hali si shwari kwa wanahabari nchini  humo.

Sauti -
9'56"

Twashukuru wanahabari wameachiwa huru lakini hali bado si shwari Mynmar

Umoja wa Mataifa umeeleza msimamo wake kufuatia kuachiliwa huru kwa waandishi wa habari wawili waliokuwa wamefungwa nchini Myanmar.

Wanahabari 262 wamefungwa mwaka jana pekee, hii si haki:UN

Waandishi wa mara kwa mara hutishwa, hushambuliwa na hata kuuawa, na idadi kubwa wanafungwa gerezani duniani kote. Hayo yameelezwa bayana na wataalamu wa haki za binadamu kwenye mkutano uliofanyika kandoni mwa mjadala wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaoendelea mjini New York Marekani.