Veterani wa vita ya pili ya Dunia. Mtetezi wa wakimbizi.
Kutana na Mzee Harry Smith, anayetambulika kuwa muasi mzee kuliko wote duniani. Ni askari mpiganaji wa vita ya pili ya Dunia. Hivi sasa ni mtetezi wa maslahi ya wakimbizi.