vita

Kumaliza vita ndio muarobaini wa njaa duniani

Mizozo na vita vinashika kasi kila uchao kwenye maeneo mbalimbali duniani. Katika mazingira hayo uzalishaji wa chakula ni tatizo, halikadhalika usafirishaji wa mazao ya chakula. Fedha nyingi hutumika kununua chakula cha msaada. 

Uwekezaji katika kilimo utawakomboa Wasyria: FAO

Uwekezaji katika kilimo umeelezwa kuwa ni muhimu sana na ndio utaokoa mustakhbali wa mamilioni ya Wasyria.

Sauti -
1'26"

Uwekezaji katika kilimo utawakomboa Wasyria:FAO

Uwekezaji katika kilimo umeelezwa kuwa ni muhimu sana na ndio utaokoa mustakhbali wa mamilioni ya Wasyria.  

Zahma ya Yemen inahitaji suluhu ya Wayemen

Zahma ya yemen imeathiri familia, taasisi na jamii nzima na mamilioni ya watu hivi sasa wanahitaji msaada wa kibinadamu. Lakini Umoja wa Mataifa unasisitiza kwamba suluhu ya mzozo huo inahitaji ushiriki wa kila pande na kila mtu nchini humo.

Sauti -
3'16"

Nchi za Afrika zenye vita zaweza kujifunza toka Liberia

Penye nia pana njia, na kauli hiyo iliwafanya Waliberia kushikamana na kusema sasa vita basi. Wakafanya uchaguzi wa kidemokrasia na hadi sasa wanalia kivulini matunda ya amani waliyochumia juani. Nchi za Afrikazilizo vitani zifuate nyayo.

Sauti -
3'5"

Ulinzi na usalama Ghouta bado mtihani mkubwa:Moumtzis

Mtaratibu wa kikanda wa masuala ya kibinadamu kwa ajili ya mgogoro wa Syria amesema anaendelea kutiwa hofu ya usalama na ulinzi wa mamilioni ya raia nchini Syria, ikiwa ni wiki moja tangu baraza la usalama la Umoja wa Mataifa lipige kura kuunga mkono azimio  nambari 2401, linalotaka usitishaji wa mapigano kwa mwezi mmoja nchini Syria.

Kutana na mtawa anayebadili maisha ya maelfu ya wanawake DRC

Nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC wanawake wanapitia madhila makubwa kutokana na vita vya muda mrefu vinavyoendelea na vilivyosababisha zahma ya kibinadamu ikiwaacha waathirika wakubwa ambao ni wanawake na watoto katika taharuki. Lakini mtawa mmoja , sista Angelique amedhamiria kufuta machozi yao.

Amani ya Sudan Kusini bado ni mtihani mgumu: Soumaré

Amani ya kudumu Sudan Kusini bado ni mtihani mgumu unaohitaji juhudi za jumuiya ya kimataifa, serikali ya Sudan, pande zote kinzani nchini humo na mshikamano wa raia wote wa Sudan Kusini.

Dunia ni lazima ishikamane na kuwa na ujasiri 2018:Guterres