Virginia Gamba

Zaidi ya watoto 5,000 waliotumikishwa vitani waachiliwa mwaka 2017

Wakati leo ikiadhimishwa siku ya kimataifa ya kupiga marufuku watoto kutumikishwa vitani au kuingizwa jeshini, migogoro na ukatili wa vita vimesontwa vidole kwa zahma hiyo.

Askari watoto zaidi ya 5,000 waachiliwa mwaka 2017

Zaidi ya watoto 5,000 waliotumikishwa vitani waachiliwa mwaka 2017

Sauti -
1'58"